angalia quality ya simu yako 
Nokia ni kati ya simu inayomilikiwa na watu wengi, lakini siku za karibuni watu wengi wanachanganyikiwa kujua kama simu zao ni low quality au high quality leo ntawafundisha njia ya kujua quality kwa kutumia imei 
   kuangalia imei ya simu yako bonyeza *06# halafu utaangalia namba ya 7 na 8
 x x x x x x ? ? x x
x x 
  simu zenye namba 02 au 20 inamaana ni za middle east (emirates) quality yake sio nzuri 
 simu zenye namba 08 au 80 ni za german ina maana quality yake ni fair 
 kama namba ya 7 na ya 8 inaishiwa na 10 au 01 inamana simu inatoka finland hio ni very good quality 
 na kama ina namba 00 ina maana simu inatoka kiwanda kikuu cha nokia hio ni best quality 
 na kama  ni namba 13 ina maana inatoka china au azerbjan ambayo ni quality mbovu